Posted on: February 4th, 2026
Leo Februari 4,2026 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe ambaye pia ni Mkuu wa idara ya Mipango na Uratibu Ndg. Alex Mang’ara amegawa Vifaa vya Tehama vya Kielimu na Said...
Posted on: February 4th, 2026
Leo tarehe 04 Februari,2026 Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe imeanza Rasmi utoaji wa Kadi za Bima ya Afya kwa wote (UHiF) kwa Walengwa wa Kaya Maskini (TASAF),zoezi hili limeanzia katika Kata ya Iponya...
Posted on: February 3rd, 2026
Zoezi la utoaji wa kadi za Bima ya Afya kwa wote kwa awamu ya kwanza linatarajia kuanza tarehe 4/2/2026 katika Wilaya ya Mbogwe kwenye kata 17 na vijiji 87 kwa kaya siziso jiweza zilizokuwa zinahudumi...