KITENGO CHA SHERIA
UTANGULIZI
Kitengo cha Sheria ni moja kati ya Vitengo vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya
Mbowe. Kitengo hiki kilianzishwa mara tu baada ya kuanzishwa kwa Halmashauri ya
Wilaya ya Mbogwe
ambayo ni Mamlaka ya Serikali za Mitaa
iliyoanzishwa kwa mujibu
wa Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya), Sura ya 287 kwa G.N Na. 41 ya
mwaka 2013
.
IDADI YA WATUMISHI
Kitengo cha Sheria cha Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama kina mtumishi mmoja tu
ambaye ndiye Kaimu wa Kitengo hiki cha
Sheria.
MAJUKUMU YA KITENGO
1.Kutoa msaada wa kisheria kwa Mabaraza ya Kata pale unapohitajika.
2.Kumshauri Mkurugenzi Mtendajina Halmashauri kwa ujumla kuhusu mambo yote
ya Kisheria
.
3.Kufuatilia na kusimamia kesi zote za Halmashauri
.
4.Kutoa ushauri mbalimba
li wa kisheria kwa wananchi pale unapohitajika
.
5.Kufanya upekuzi wa M
ikataba ya Halmashauri
.
KITENGO CHA SHERIA
UTANGULIZI
Kitengo cha Sheria ni moja kati ya Vitengo vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya
Mkalama. Kitengo hiki kilianzishwa mara tu baada ya kuanzishwa kwa Halmashauri ya
Wilaya ya Mkalama
ambayo ni Mamlaka ya Serikali za Mitaa
iliyoanzishwa kwa mujibu
wa Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya), Sura ya 287 kwa G.N Na. 41 ya
mwaka 2013
.
IDADI YA WATUMISHI
Kitengo cha Sheria cha Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama kina mtumishi mmoja tu
ambaye ndiye Kaimu wa Kitengo hiki cha
Sheria.
MAJUKUMU YA KITENGO
1.
Kutoa msaada wa kisheria kwa Mabaraza ya K
ata pale unapohitajika.
2.
Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji
na H
almashauri kwa ujumla kuhusu mambo yote
ya Kisheria
.
3.
Kufuatilia na kusimamia kesi zote za Halmashauri
.
4.
Kutoa ushauri mbalimba
li wa kisheria kwa wananchi pale unapohitajika
.
5.
Kufanya upekuzi wa M
ikataba ya Halmashauri
.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.