MRADI WA JENGO LA UPASUAJI KITUO CHA AFYA IBOYA
Mradi huu ulianza tarehe 20/02/2016 na kukamilika pamoja na vifaa vyake mwaka 2017 ukiwa umefadhiliwa na shirika la UNFPA/AMREF.
Gharama za mradi hadi kukamilika bila vifaa vyake umegharimu jumla ya shilingi 387,579,734/= kwa mchanganuo ufuatavyo:
i. Wafadhili (UNFPA/AMREF) shilingi 380,969,734/=
ii. Nguvu za wananchi (Mawe, mchanga na kokoto)shilingi 6,610,000/=
Mradi huu Utasaidia kupunguza vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua na kuboresha utoaji huduma kwa wagonjwa wanaohitaji upasuaji.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.