27 Agosti,2025 Kamati ya Siasa Mbogwe imetembelea na kukagua Miradi itakayopitwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025.
Aidha kamati hiyo imeridhishwa na miradi yote itakayopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 pia imepongeza kwa juhudi kubwa zilizofanyika katika kutekeleza miradi hiyo.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.