• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Frequently Asked Questions |
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe

The United Republic of Tanzania MBOGWE DISTRICT COUNCIL MBOGWE DISTRICT COUNCIL

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Administration and human resource
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Finance and Business
      • Social Work
      • Health
      • Ardhi na Mali Asili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji na Udhibiti Majitaka
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Units
      • Procurement and Supply
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa na Uwekezaji
  • Huduma
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Elimu Afya na Maji
  • Miradi
    • Project Projection
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha za Matukio mbalimbali
  • Machapisho
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Fomu mbalimbali

Social work departiment

MAJUKUMU YA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII

Maendeleo ya Jamii ni taaluma ya ujenzi na utaalamu wa kuiwezesha Jamii kujenga Jamii endelevu iliyojiamini yenye kujitambua na yenye uwezo wa kujitambua na kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo kwa misingi ya haki na usawa.

Taaluma hii inawezesha jamii kubaini, mahitaji, fursa, kubuni, kuandaa, kupanga na kutekeleza miradi mbalimbali ya kujiletea maendeleo endelevu.

Maendeleo ya Jamii inawezesha Jamii kufahamu fursa za kiuchumi, kijamii, kiteknolojia, na kiutamaduni kama njia muhimu ya kuongeza kipato kwa jamii na kupunguza/kuondoa umaskini, kupigania usawa wa kijinsia, Maendeleo ya kielimu na Maarifa ya Matumizi mazuri ya fursa Sayansi na Teknolojia katika kujiletea Ustawi wa Maisha ya Familia, Jamii na Taifa kwa ujumla.

Katika kutekeleza utaalamu huu kwa sekta mtambuka inayounganisha majukumu yake na sekta zingine wataalamu wa Maendeleo ya Jamii wana wajibu ufuatao;

  • Kubuni, kupanga, kushirikisha na kutekeleza miradi mbalimbali inayoibuliwa na jamii  kwa ajili ya kujiletea maendeleo.
  • Kuandaa jamii iweze kujitathimini na kujitafiti hali zao za kimaisha na kuzifahamu changamoto zinazohitaji kufanyiwa marekebisho na maboresho ili waweze kusonga mbele kimaendeleo.
  • Kuwezesha jamii kufahamu fursa na rasrimali zilizopo katika jamii yao na kutatua matatizo yao.
  • Kuwa kiunganishi kati ya wananchi, viongozi, asasi za kiraia na mashirika kuanzia ngazi ya chini (Vijiji, Mitaa, Kata,Wilaya, Mikoa hadi Taifa)
  • Kutafisri sera miongozo kanuni na mipango mbalimbali ya kimaendeleo kwa ajili ya utekelezaji katika ngazi ya jamii kuanzia ngazi ya chini kwenda juu (Bottom up Approach)
  • Kuhamasisha Umma kushiriki katika kutekeleza sera mtambuka kama vile UKIMWI, MKURABITA, UWEZESHAJI WANANCHI, UKATILI WA KIJINSIA na kampeni mbalimbali kujishughulisha na kuingiza masuala mtambuka katika mipango ya Vijiji, Kata, Halmashauri katika kuandaa utekelezaji wa sera na program za maendeleo.
  • Kuhamasisha jamii wawe tayari kwa mabadiliko chanya yenye manufaa kwao, kwa mtu mmoj mmoja kupitia vikundi vya ujasiliamali, sanaa n.k
  • Kutoa mafunzo ya vikundi vya Vijana na Wanawake yanayohusu uanzishaji wa Biashara, Utunzaji wa fedha, Uongozi na Ujasiriamali.

          MAJUKUMU YA MSINGI YA MAENDELEO YA JAMII YAMEJIKITA KATIKA MAENEO YAFUATAYO;

  • Kuraghibisha na kuhamasisha jamii kujiletea  maendeleo endelevu “kujitambua/ kutambua fursa na rasilimali”
  • Kuratibu mipango mbalimbali ya Serikali, Taasisi, Asasi pamoja na huduma zingine zinazotolewa na wadau pamoja na mitandao mbalimbali.
  • Kuwezesha na kuunganisha jamii na vikundi na taasisi, asasi na Serikali kwa ujumla ili kupata rasilimali (huduma, mitaji na mikopo)
  • kuingiza masuala mtambuka katika mipango ya maendeleo kwa ngazi zote (Vijijini  - Halmashauri)
  • KUSHIRIKISHA Jamii na wadau mbalimbali katika kutambua, chambua na kutekeleza kazi za kujiletea maendeleo.

Announcements

  • Watoto wa kike waliokatisha Masomo yao November 01, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA USAJILI WA ANWANI ZA MAKAZI March 09, 2022
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi kwa Walimu September 06, 2020
  • Ratiba ya Kampeni za Kampeni Jimbo la Mbogwe August 26, 2020
  • View All

Latest News

  • Progamu ya utoaji wa Chakula Mashuleni wilayani Mbogwe

    May 20, 2022
  • Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    April 26, 2022
  • Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    April 26, 2022
  • Mkurugenzi Mtendaji Bi Saada Selemani Mwaruka katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    April 26, 2022
  • View All

Video

UFUNGUZI WA MAJENGO MAPYA NA UPANUZI WA KITUO CHA AFYA CHA MASUMBWE, GEITA
More Videos

Quick Links

  • MKOA WA GEITA
  • WIZARA YA TAMISEMI
  • IKULU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
  • MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA(TRA)
  • BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA(NECTA)
  • WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
  • WIZARA YA ELIMU,SAYANSI NA TKNOLOJIA
  • WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

Related Links

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora
  • Mkoa wa Geita

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita

    Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe

    Telephone: +255734412592

    Mobile: +255734412592

    Email: ded@mbogwedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.