• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Frequently Asked Questions |
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe

The United Republic of Tanzania MBOGWE DISTRICT COUNCIL MBOGWE DISTRICT COUNCIL

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Administration and human resource
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Finance and Business
      • Social Work
      • Health
      • Ardhi na Mali Asili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji na Udhibiti Majitaka
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Units
      • Procurement and Supply
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa na Uwekezaji
  • Huduma
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Hamashauri ya Mbogwe
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya Na Maji
      • Kamati ya Maaadili
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Bodi ya Ajira
      • Alat Mkoa
      • Kamati ya Vileo
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi(CMAC)
      • Kamati ya Kugawa Ardhi
      • Kamati ya LAVULAK
  • Miradi
    • Project Projection
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha za Matukio mbalimbali
  • Machapisho
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Fomu mbalimbali

ICT Unit

Teknolojia,habari, mawasiliano na mahusiano

Majukumu ya kiengo cha Teknologia ya habari na mawasiliano.

•Kutayarisha mpango Mkakati wa kuhusu Teknolojia ya habari na Mawasiliano, Miongozo na taratibu kwa kuzingatia Sera ya Taifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.

•Kuishauri Menejimenti ya Sekretarieti ya Halmashauri juu ya masuala yanayohusiana na sera zinazohusiana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na utekelezaji wa dhana ya serikali mtandao.

•Kusimamia maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na utekelezaji wake kwa ajili ya Sekretarieti ya Halmashauri ya Wilaya.

•Kushirikiana na ORM-TAMISEMI kuratibu na kuendeleza viwango vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa ajili ya “software na hardware” kwa matumizi ya Sekretarieti ya Halmashauri na Mamlaka za Miji Midogo.

•Kuziwezesha Mamlaka za Miji Midogo, Kata na vijiji katika kuendeleza na kutekeleza mipango/miradi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.

•Kuratibu utekelezaji wa usanifu na kutunza/kuiendeleza matumizi yanayohusiana na Tovuti na utunzaji wa kumbukumbu kwa ajili ya Halmashauri ya Wilaya, wizarani na wadau wengine.

•Kutathimini, kuboresha na kusimamia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na usimamizi wa mifumo ya taarifa/habari iliyosimikwa/iliyowekwa kwenye Halmashauri.

•Kufanya tathimini ya mahitaji ya mafunzo juu ya usimamizi wa mifumo ya taarifa na teknolojia ya habari na mawasiliano na kuandaa mpango wa kujenga uwezo kwa watumishi wa Kitengo cha Tehama.

•Kufanya tathimini ya hatari/hasara zinazohusiana na Miundombinu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na mfumo wa usimamizi wa taarifa na namna ya kuthibiti.

•Kuendeleza na kutunza Tovuti ya Halmashauri.

Kusimamia mioundombinu yote ya  mifumo ya mapato .


Announcements

  • Watoto wa kike waliokatisha Masomo yao November 01, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA USAJILI WA ANWANI ZA MAKAZI March 09, 2022
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi kwa Walimu September 06, 2020
  • Ratiba ya Kampeni za Kampeni Jimbo la Mbogwe August 26, 2020
  • View All

Latest News

  • MKUU WA WILAYA SAKINA MOHAMED AMEFANYA KIKAO NA WATUMISHI IDARA YA AFYA WA KITUO CHA AFYA MASUMBWE

    May 15, 2025
  • KAMATI YA FEDHA,UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO MBOGWE

    May 13, 2025
  • KAMATI YA FEDHA YATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO MBOGWE

    May 12, 2025
  • WAENDESHA VIFAA VYA BIOMETRIKI NA WAANDISHI WASAIDIZI WAKIPATA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • View All

Video

UFUNGUZI WA MAJENGO MAPYA NA UPANUZI WA KITUO CHA AFYA CHA MASUMBWE, GEITA
More Videos

Quick Links

  • MKOA WA GEITA
  • WIZARA YA TAMISEMI
  • IKULU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
  • MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA(TRA)
  • BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA(NECTA)
  • WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
  • WIZARA YA ELIMU,SAYANSI NA TKNOLOJIA
  • WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

Related Links

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora
  • Mkoa wa Geita

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita

    Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe

    Telephone: +255734412592

    Mobile: +255734412592

    Email: ded@mbogwedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.