Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji inapenda kuwatangazia wananchi wa Wilaya ya Mbogwe kuwa binti yeyote mwenye umri kati ya miaka 13-20 aliyekatisha masomo yake ya Elimu ya sekondari kwa sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito,Uwezo mdogo wa kiuchumi n.k anatakiwa kufika Ofisi ya Afisa Elimu Kata anayoishi ajaze fomu na kuiwasilisha kabla ya Tarehe 25 Novemba,2021.Kwa maelezo zaidi fika ofisi husika.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.