Leo tarehe Mosi Septemba 2025 Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake katika Mkoa wa Geita. Mwenge wa Uhuru umepokelewa katika Kata ya Lwezera Halmashauri ya Wilaya ya Geita ukitokea Mkoani Mwanza.
Mwenge wa Uhuru 2025 ukiwa ndani ya Mkoa wa Geita utakimbizwa umbali wa KM 653 katika Halmashauri sita ambazo ni Geita, Manispaa ya Geita, Nyang’hwale, Mbogwe, Bukombe na Chato.
Ukiwa kwenye mbio zake, Mwenge wa Uhuru utafungua, kuzindua, kuweka mawe ya msingi na kukagua miradi 61 yenye thamani ya Shilingi za kitanzania Bilioni 164,426,673,440.91 Mkoani Geita.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.