& 07 Novemba,2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Adv. Edwin Lusa ameongoza Kamati ya Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe kukagua Miradi inayoendelea kutekelezwa Wilayani Mbogwe yenye Jumla ya Tshs 8,263,687,144.91 kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Aidha katika ziara hiyo Mkurugenzi amesisitiza wasimamizi wa Miradi kusimamia kwa weredi ili ikamilike kwa wakati uliopangwa.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.