Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupiga Kura wahitimisha Mafunzo.
27 Oktoba,2025 Wasimamizi Wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupiga Kura wamehitimisha Mafunzo yao ya Siku mbili,ikiwa ni maandalizi ya Kuelekea Uchaguzi Mkuu ifikapo 29 OKtoba,2025.
Mafunzo yamefanyika katika Tarafa zote 3 za Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe,Tarafa ya Masumbwe wamefanya Katika Ukumbi wa Subira Uliopo Mzambarauni Kata ya Nyakafuru,Tarafa Ya Mbogwe wamefanya katika Bwalo la Shule ya Sekondari Mbogwe Kata ya Mbogwe na Tarafa ya Ilolangulu wamefanya katika Ukumbi wa Masasi uliopo Kata ya Lulembela.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.