Mkuu wa Idara
Exvaria Mlowe
Idara ya Elimu Sekondari ilianza mwezi Sept, 2013 wakati Halmashauri ya wilaya ya Mbogwe ilopoanzishwa, mpaka sasa ina jumla shule 13 za Sekondari za Serikali za kawaida (O’level) zenye usajili rasmi, pia shule 4 zinajengwa katika kata 4 za Ngemo, Nanda, Isebya na Lugunga. Hakuna shule za binafsi na hakuna shule ya Sekondari ya juu (A’level) wala chuo chochote.
MAJUKUMU YA IDARA
1. Kuongeza uandikishaji wakidato cha kwanza toka asilimia 90-100%.
2. Kufanya ufuatiliaji wa ufundishaji na ujifunzaji.
3. Kuongeza ufaulu wa wanafunzi wa kidato cha nne kutoka asilimia 61-
100.
4. Kuratibu na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya chama tawala ya kuwa na shule ya kidato cha tano na cha sita kwa kila Tarafa.
WATUMISHI WA IDARA
MAAFISA WALIOPO OFISINI
1. Afisaelimu Sekondari
2. Afisaelimu Taaluma Sekondari
3. Afisaelimu Vifaa na Takwimu Sekondari
WALIMU WALIOPO SHULENI WAPATAO 305
TAKWIMU MUHIMU
Idadi ya wanafunzi
Wanafunzi ni 5805 ikiwa wavulana 3159 na wasichana 2646
Miundombinu
AINA YA MIUNDOMBINU
|
MAHITAJI
|
YALIYOPO
|
UPUNGUFU
|
MADARASA
|
154
|
108
|
49
|
NYUMBA ZA WALIMU
|
305
|
51
|
254
|
MATUNDU YA VYOO WAVULANA
|
130
|
62
|
68
|
MATUNDU YA VYOO WASICHANA
|
144
|
64
|
80
|
JENGO LA UTAWALA
|
13
|
5.5
|
7.5
|
MAABARA
|
39
|
37
|
2
|
MAKTABA
|
13
|
0
|
13
|
BWALO LA CHAKULA
|
13
|
0.5
|
12.5
|
SAMANI
AINA YA SAMANI
|
MAHITAJI
|
YALIYOPO
|
UPUNGUFU
|
MEZA
|
5805
|
5456
|
566
|
VITI
|
5805
|
5514
|
508
|
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.