Posted on: June 4th, 2018
Madiwani wa halamshauri ya wilaya ya Mbogwe mkoani Geita,
wameshauriwa kufika kujionea miradi ya maendeleo badala ya kupokea
taarifa za watendaji wa kata ofisini.
Wito huo ulitolewa ...
Posted on: June 1st, 2018
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe limeridhia kuomba Shirika la TANESCO kupeleka Umeme wa REA katika maeneo ya Migodi ili gharama za uendeshaji kwa wananchi ziweze kupungua.
Awal...
Posted on: May 8th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Mbogwe Mhe. Martha Mkupasi amewataka madiwani wenye vijiji vyenye walengwa wa mpango wa TASAF awamu ya tatu kuwaelimisha wanufaika wa mpango huo wa kunusuru kaya maskini kuhusu umuhi...