20 Septemba,2025 Wanachama wa Mbogwe Jogging Club washiriki zoezi la maadhimisho ya Siku ya Usafi Duniani.
Aidha wameanza kwa kukimbia mbio za 9.3 KM kuzunguka maeneo ya Viunga vya Kijiji cha Masumbwe Kata ya Masumbwe,kisha wameshiriki Uzinduzi wa Fitzone360 Gym iliyopo katika Hotel ya Ngabanya katika Kata ya Nyakafuru.
Pia Mbogwe Jogging Club wameshiriki kuadhimisha siku ya Usafi Duniani kwa kufanya Usafi maeneo ya viunga vya Kijiji cha Masumbwe Kata ya Masumbwe
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.