Posted on: August 27th, 2025
27 Agosti,2025 Kamati ya Siasa Mbogwe imetembelea na kukagua Miradi itakayopitwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025.
Aidha kamati hiyo imeridhishwa na miradi yote itakayopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uh...
Posted on: August 26th, 2025
Kuelekea Kongamano kubwa litakalofanyika siku ya kupokea Mwenge wa Uhuru 2025,Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe leo tarehe 26 Agosti,2025 imefanya Kongamano lingine lililounganisha Vijana toka Tarafa ya...