Leo Tarehe 25 Novemba,2021 Iponya seckondari tumeendelea na ufungaji wa boksi vyumba vitatu .
Tarehe 29/11/21 Iponya sec,tofari juu ya Renta zimekamilika,kesho tutaanza uungaji wa kenchi pamoja na kuanza plasta plasta
Leo Tarehe 03 Desemba,2021 upigaji ripu na uungaji kenchi umeendelea