Chama cha Ushirika cha Mbogwe na Bukombe kinawatangazia wananchi wote kua kutakua na Mnada wa zao la Dengu siku ya Tarehe 12/08/2025 katika Ghara la Lugunga Kata ya Lugunga Wilaya ya Mbogwe.
Nyote mnakaribishwa
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.