Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Ndg Elias M.Kayandabila anaungana na raia wote ndani na nje ya Tanzania kutoa pole kwa Mama Janeth Magufuli,Familia ,Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan na Taifa kwa ujumla kutokana na Msiba mkubwa wa Rais Dkt John Pombe Magufuli uliotokea Tarehe 17 Machi 2021 Jiji Dar es salaam kutokana na matatizo ya Moyo, pia anawahimiza wananchi wote wenye mapenzi mema kuendelea kumwombea pumziko la milele,kuhudhuria katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe ili kusaini Kitabu cha Maombolezo na kushiriki mazishi ya Rais wetu yatakayofanyika Chato Mkoani Geita hapo Tarehe 26 Machi,2021
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.