Kuelekea kuupokea Mwenge wa Uhuru 2025 Wilayani Mbogwe,Mbogwe imejipanga kufanya Kongamano lingine kwa vijana wa Wilaya yote ya Mbogwe,katika Kongamano hilo Vijana watafundishwa Mada Mbalimbali zikiwemo za Kuijua Falsafa ya Mwenge,Umuhimu wa Mwenge,Fursa za Kiuchumi zilizopo ndani ya Mbogwe,N.K
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.