Kuelekea kilele cha maadhimisho ya Wiki ya ustawi wa Jamii itakayoanza tarehe 25 hadi 30 Agosti,2025, Maafisa Ustawi wa Jamii kushirikiana na Maafisa Dawati wa Msaada wa kisheria wameendelea kutekeleza shughuli mbalimbali ikiwepo kutoa Elimu dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa watoto Shule ya Sekondari Bugegele iliyopo kata ya Nyakafuru.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.