16 -17 Septemba,2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Adv. Edwin Lusa ameongoza Kamati ya Menejimenti ya Halmashauri (CMT) kukagua Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Aidha katika ziara hiyo Mkurugenzi Adv. Edwin Lusa amesisitiza kuendelea kusimamia miradi hiyo kwa weredi ili iweze kukamilika kwa wakati na kufunguliwa kwa ajili ya matumizi yaliyokusudiwa.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.