29&30 JULAI,2025 WATAALAM TOKA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOGWE,WAMETOA MAFUNZO YA MFUMO WA KIDIJITI WA UTHIBITI UBORA WA SHULE (SQAS-SCHOOL QUALITY ASSURANCE SYSTEM) KWA WALIMU WAKUU WA SHULE ZA AWALI NA MSINGI NA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI KWA SHULE ZOTE ZA SERIKALI NA BINAFSI.
MAFUNZO HAYA YANAYOENDESHWA NCHI NZIMA MAALUMU KWA UKAGUZI WA SHULE KIDIJITI.
MAFUNZO YAMEFANYIKA KWA TARAFA YA MBOGWE NA TARAFA YA ILOLANGULU KATIKA UKUMBI ULIOPO SHULE YA SEKONDARI MBOGWE KATA YA MBOGWE.
MAFUNZO HAYA YATAENDELEA KATIKA TARAFA YA MASUMBWE KWA SIKU YA TAREHE 31/07 HADI 01/08,2025.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.