30 Julai,2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya MBOGWE Adv. Edwin B. Lusa amewaongoza Wakuu wa Idara na Vitengo kutembelea na kukagua Miradi inayoendelea kutekelezwa Wilayani Mbogwe.
Aidha katika ziara hiyo Ndugu Lusa amesisitiza miradi iendelee kutekelezwa kwa Kasi ili iweze kufunguliwa na kuanza kutumika na Wananchi wa Wilaya ya Mbogwe.
Katika ziara hiyo miradi iliyotembelewa ni pamoja na
Umaliziaji wa kituo cha Afya Ushirika kilichopo Kijiji cha Ushiroka Kata ya Ushirika na Ujenzi wa Shule Mpya ya Amali iliyopo Kijiji cha Iboya Kata ya Mbogwe.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.