MAELEZO MAFUPI KUHUSU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOGWE
(MBOGWE DISTRICT COUNCIL)
UTANGULIZI
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe iliyoko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania ni moja kati ya Halmashauri sita (6) zinazounda mkoa wa Geita.
Wilaya ya Mbogwe ni miongoni mwa Wilaya 19 mpya zilizoanzishwa, Wilaya hii ilianzishwa tarehe 9/05/2012 kutoka Wilaya mama ya Bukombe katika Mkoa mpya wa Geita na kutangazwa katika gazeti la Serikali na kupewa GN 286. Lengo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kuanzisha Wilaya hii ni kuchochea maendeleo na kusogeza huduma za utawala karibu na wananchi.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Anuani ya Posta: P.o.box 1 Masumbwe
Telephone: +255757499681
Simu ya Kiganjani: +255757499681
Barua Pepe: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2017 MBOGWE DC . All rights reserved.