Mradi wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa Shule ya Sekondari Lulembela kupitia Fedha ya Benki ya Dunia(IMF) katika kukabiliana na Janga la Uviko-19
Kufikia Tarehe 10/12/2021 Lulembela ss kazi ya 1. Upigaji plaster ndani na nje Madarasa 6 kati ya 6 umekamilika 2 ufungaji wa gypsum board vyumba 5 kati ya 6 umekamilika. 3. Uwekaji wa Fremont 6 umekamilika