Mradi wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa Shule ya Sekondari Kanegere kupitia Fedha ya Benki ya Dunia(IMF) katika kukabiliana na Janga la Uviko-19
Kufikia Tarehe 10/12/2021 Kanegere sec vyumba 3 vya madarasa mradi wa uviko 19 hatua iliyofikiwa; 1) plasta ndani 3/3. (2) plasta nje 1/3 (3) blandering 3/3 (4) upigaji bati 3/3 (5) fremu za milango 3/3 (6) wiring 1/3