Hatua ya Upauaji imekamilika,Top za milango zimekamilika na zoezi la Utengenezaji wa Madirisha lipo ukingoni(Hatua hii ni ya leo Tarehe 11/12/2021)