Mradi wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa Shule ya Sekondari Ikobe kupitia Fedha ya Benki ya Dunia(IMF) katika kukabiliana na Janga la Uviko-19
Ripoti ya Tarehe 10/12/202I
kobe ss, upigaji ripu nje ndani 3/3 tayari. Fremu za milango 3/3 tayari. Viti 60/120 mpk sasa.uwekaji dari 1/3. Rangi bado. Vigae bado. Bati bado. Umeme conduit 3/3 tayari. Ceiling board bado.top za milango bado.