Taarifa ya Tarehe 10/12/2021 na Hatua iliyofikiwa. Kadoke shule ya msingi ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa unaendelea leo kazi zilizofanyika ni: 1.Fremu za milango vyumba viwili vya madarasa tayari. 2.Upigaji wa plasta ndani na nje unakamilika leo vyumba viwili vya madarasa. 3.Blundering vyumba viwili vya madarasa tayari. 4.Ceiling board bado 5.Rangi bado 6.Sakafu bado 7.Top zinatengenezwa 8.madawati 18/36.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.