20 Januari,2026 Timu ya Maafisa Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na Afisa maendeleo ya jamii kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe wametoa ELIMU katika Shule ya Msingi Masumbwe
Mada zilizo tolewa ni:
1. Ulinzi na Usalama wa Mtoto
2. Kuzuia Ajira za Watoto hasa sehemu za Migodini.
3. Upatikanaji wa Vyeti vya watoto chini ya miaka 5 (miezi 0-3)
4. Kusimamia Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto.
5. Elimu kuhusu Ukatili na Madhara ya Ukatili ikihusisha na Mimba na Ndoa za Utotoni.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.