WASIMAMIZI WA VITUO NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAMEKULA KIAPO.
26 Oktoba,2025 Wasimamizi Wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupiga Kura Wamekula kiapo cha Kutunza Siri katika Ukumbi wa Subira Uliopo Mzambarauni Kata Ya Nyakafuru,ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu utakao fanyika Siku ya Jumatano Oktoba 29,2025.

Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.