26 Juni,2025 Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe ambae ni Mkuu wa Divisheni ya Mipango Ndg. Alex Mang'ara amemuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Sakina Mohamed kukabidhi Pikipiki 7 kwa Maafisa Ugani Ngazi ya Kata ili kuwasaidia katika zoezi la Utoaji wa Chanjo kwa Mifugo.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.