Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Adv. Edwin Lusa,anawakaribisha wananchi Wote kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Madiwani utakaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano uliopo Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe siku ya Tarehe 03/12/2015.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.