• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Frequently Asked Questions |
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe

The United Republic of Tanzania MBOGWE DISTRICT COUNCIL MBOGWE DISTRICT COUNCIL

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Administration and human resource
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Finance and Business
      • Social Work
      • Health
      • Ardhi na Mali Asili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji na Udhibiti Majitaka
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Units
      • Procurement and Supply
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa na Uwekezaji
  • Huduma
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Hamashauri ya Mbogwe
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya Na Maji
      • Kamati ya Maaadili
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Bodi ya Ajira
      • Alat Mkoa
      • Kamati ya Vileo
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi(CMAC)
      • Kamati ya Kugawa Ardhi
      • Kamati ya LAVULAK
  • Miradi
    • Project Projection
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha za Matukio mbalimbali
  • Machapisho
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Fomu mbalimbali

Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Ameongoza Zoezi la Usafi

Posted on: May 27th, 2017

MKUU WA WILAYA YA MBOGWE AONGOZA ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA.

Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Mh Martha Mkupasi ameongoza wakazi  wa Mbogwe  kwenye Zoezi la Usafi wa Mazingira kwa kufanya usafi eneo la  Kituo cha Afya Masumbwe na maeneo yanayozunguka kituo hicho.

Akiongea  na wananchi baada ya zoezi la usafi, mh Mkupasi  amewataka wananchi kujijengea tabia ya kufanya usafi wa mazingira yanayowazunguka kila siku na wasisubiri mwisho wa mwezi kwani kwa kupenda usafi  itawasaidia kujiepusha na magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu. Pia amewasisitiza wananchi kutunza mazingira na kuepuka kukata miti ovyo badala yake wapande miti ya kutosha  .

Pamoja na hayo mh Mkupasi aliongea na Vijana wa  Kikundi cha Scout  walioungana na wananchi kwenye zoezi la usafi , nakuwahimiza kupenda masomo yao ya kila siku na kuweka bidii kwani bila elimu hawezi kutimiza ndoto zao .

Akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi  Mtendaji Wilaya, Afisa Mazingira wa Wilaya Charles Karibu Tuyi aliwashukuru wananchi na kikundi cha scouti kwa kujitolea kuja kufanya usafi wa mazingira kwenye kituo cha afya Masumbwe  na kuwahimiza kuendelea kusafisha mazingira wanayoishi na kuwataka waepuke kutupa uchafu kwenye mitaro kwani  utupaji wa taka ngumu unaweza kuziba mitaro na kusababisha  mafuriko .



Announcements

  • Watoto wa kike waliokatisha Masomo yao November 01, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA USAJILI WA ANWANI ZA MAKAZI March 09, 2022
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi kwa Walimu September 06, 2020
  • Ratiba ya Kampeni za Kampeni Jimbo la Mbogwe August 26, 2020
  • View All

Latest News

  • WAENDESHA VIFAA VYA BIOMETRIKI NA WAANDISHI WASAIDIZI WAKIPATA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • MAFUNZO YA WAENDESHA VIFAA VYA BIOMETRIKI NA MAFUNZO YA WAANDISHI WASAIDIZI YAMEFANYIKA LEO TAREHE 29 APRILI,2025

    April 29, 2025
  • TAARIFA YA MKAGUZI WA MAHESABU

    June 26, 2024
  • Progamu ya utoaji wa Chakula Mashuleni wilayani Mbogwe

    May 20, 2022
  • View All

Video

UFUNGUZI WA MAJENGO MAPYA NA UPANUZI WA KITUO CHA AFYA CHA MASUMBWE, GEITA
More Videos

Quick Links

  • MKOA WA GEITA
  • WIZARA YA TAMISEMI
  • IKULU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
  • MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA(TRA)
  • BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA(NECTA)
  • WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
  • WIZARA YA ELIMU,SAYANSI NA TKNOLOJIA
  • WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

Related Links

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora
  • Mkoa wa Geita

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita

    Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe

    Telephone: +255734412592

    Mobile: +255734412592

    Email: ded@mbogwedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.