15 Mei,2025 Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Sakina Mohamed amefanya kikao na Watumishi wa Idara ya Afya wa Kituo cha Afya Masumbwe kusikiliza kero za Watumishi hao pamoja na kuwasilisha kero za Wananchi katika upatikanaji wa huduma za Afya kwenye Kituo cha Afya Masumbwe.
Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa CTC kituo cha Afya Masumbwe
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.