Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe waridhishwa na kasi ya Utekelezaji wa Miradi inayoendelea Kutekelezwa Wilayani Mbogwe.
Hayo wameyasema leo Mei 21,2025 katika Mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika katika Ukumbi uliopo Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe.
Aidha,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe ambae ni Mhe Diwani wa Kata ya Nhomolwa Mhe. Vicent Busiga amesisitiza kuendelea kusimamia miradi hiyo kwa weredi na kujituma ili ikamilike kwa wakati na kufunguliwa kwa ajili ya matumizi yanayotakiwa.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.