• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Frequently Asked Questions |
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe

The United Republic of Tanzania MBOGWE DISTRICT COUNCIL MBOGWE DISTRICT COUNCIL

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Administration and human resource
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Finance and Business
      • Social Work
      • Health
      • Ardhi na Mali Asili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji na Udhibiti Majitaka
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Units
      • Procurement and Supply
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa na Uwekezaji
  • Huduma
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Hamashauri ya Mbogwe
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya Na Maji
      • Kamati ya Maaadili
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Bodi ya Ajira
      • Alat Mkoa
      • Kamati ya Vileo
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi(CMAC)
      • Kamati ya Kugawa Ardhi
      • Kamati ya LAVULAK
  • Miradi
    • Project Projection
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha za Matukio mbalimbali
    • SHERIA NDOGO ZA HALMASHAURI
  • Machapisho
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Fomu mbalimbali

MKURUGENZI MTENDAJI AWANOA WALIMU WAKUU NA MAAFISA ELIMU NGAZI YA KATA

Posted on: January 17th, 2026

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe Adv. Edwin Lusa amewataka Maafisa Elimu Ngazi ya Halmashauri,Maafisa wa Tume ya Utumishi wa Walimu,Wathibiti Ubora wa Shule,Maafisa Elimu Kata,Viongozi wa Umoja wa Walimu Wakuu na walimu Wakuu kushirikiana kwa pamoja kuongeza  kiwango cha Taaluma na Ubora wa Elimu Msingi kutoka Asilimia 74 hadi Asilimia 85 na zaidi kwa kupitia Usimamizi bora wa Ufundishaji ,Matumizi bora ya rasilimali,Matumizi ya Mbinu na Zana bora, Ufuatiliaji wa mara kwa mara na Ushirikishwaji kwa Jamii.


Adv. Lusa ametoa Agizo hilo Leo Januari 17,2026 katika kikao Kazi chake na Maafisa Elimu ngazi ya Halmashauri,Maafisa wa Tume ya Utumishi wa Walimu,wathibiti Ubora wa Shule ,Maafisa Elimu Kata ,Viongozi wa umoja wa Walimu na Walimu Wakuu kilichofanyika katika Shule ya Msingi Masumbwe Kata ya Masumbwe.


Amesema wanao wajibu wa kuongeza Wastani wa Ufaulu wa Wanafunzi ili kuboresha Matokeo ya kitaaluma ya Wanafunzi kupitia Ufundishaji wenye tija na Tathmini.


Aidha amewataka kupunguza Utoro wa Wanafunzi sambamba na kuboresha Nidhamu,Bidii na Uwajibikaji katika masomo kwa Wanafunzi kwa kujenga tabia chanya za Kitaaluma kwa Wanafunzi katika kujifunza.


Sambamba na hayo amewataka Walimu Wakuu kusimamia kikamilifu miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo inaendelea katika Shule zao kwa kuwabana mafundi pamoja na wazabuni ili iweze kukamilika kwa wakati.


Nae Kaimu Mkuu wa Divisheni ya Elimu Awali na Msingi Zenaida Msita amesema Lengo kuu ni kuiinua kiufaulu Wilaya ya Mbogwe hivyo ipo haja kubwa ya viongozi hao kishirikiana katika kuongeza Wastani wa Ufaulu kwa Wanafunzi.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UKARANI October 23, 2025
  • MAJINA YA USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOGWE August 22, 2022
  • MAJINA YA USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOGWE August 22, 2022
  • MAJINA YA USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOGWE August 22, 2022
  • View All

Latest News

  • Mbogwe imekabidhi Vifaa vya Kitehama kwa Walimu wanaofundisha Wanafunzi wa Mahitaji Maalumu

    February 04, 2026
  • Mbogwe yaanza zoezi la Ugawaji wa Kadi za Bima ya Afya kwa Walengwa

    February 04, 2026
  • MBOGWE KUTOA KADO ZA BIMA YA AFYA KWA WAKENGWA

    February 03, 2026
  • Wataalam wa Ustawi Wa Jamii Watoa Elimu Mashuleni

    January 20, 2026
  • View All

Video

UFUNGUZI WA MAJENGO MAPYA NA UPANUZI WA KITUO CHA AFYA CHA MASUMBWE, GEITA
More Videos

Quick Links

  • MKOA WA GEITA
  • WIZARA YA TAMISEMI
  • IKULU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
  • MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA(TRA)
  • BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA(NECTA)
  • WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
  • WIZARA YA ELIMU,SAYANSI NA TKNOLOJIA
  • WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

Related Links

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora
  • Mkoa wa Geita

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita

    Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe

    Telephone: +255734412592

    Mobile: +255734412592

    Email: ded@mbogwedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.