Mgeni Rasmi ambae ni Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbogwe Ndg. Ng'ambu E. Manyonyi amefungua mafunzo ya Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbogwe Ngazi ya Kata.
Mafunzo hayo yanatolewa kwa muda wa siku tatu kuanzia leo tarehe 04 hadi 06 Agosti,2025 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe.
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.