• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Frequently Asked Questions |
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe

The United Republic of Tanzania MBOGWE DISTRICT COUNCIL MBOGWE DISTRICT COUNCIL

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Administration and human resource
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Finance and Business
      • Social Work
      • Health
      • Ardhi na Mali Asili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji na Udhibiti Majitaka
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Units
      • Procurement and Supply
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa na Uwekezaji
  • Huduma
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Hamashauri ya Mbogwe
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya Na Maji
      • Kamati ya Maaadili
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Bodi ya Ajira
      • Alat Mkoa
      • Kamati ya Vileo
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi(CMAC)
      • Kamati ya Kugawa Ardhi
      • Kamati ya LAVULAK
  • Miradi
    • Project Projection
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha za Matukio mbalimbali
  • Machapisho
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Fomu mbalimbali

MBOGWE YAPONGEZWA KUPATA HATI SAFI

Posted on: June 16th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe imepongezwa kwa kupata Hati Safi kwa Miaka Mitatu Mfululizo kuanzia Mwaka 2021/2022 hadi Mwaka 2023/2024.

Pongezi hizo zimetolewa leo Tarehe 16 Juni, 2025 na Mhe. Sakina Mohamed Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe ambaye ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Geita katika Mkutano Maalum wa Baraza la kupokea na kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano uliopo Shule ya Sekondari Masumbwe Kata ya Nyakafuru.


"Twendeni tukasimamie vizuri fedha za Miradi ya Maendeleo na tuhakikishe tunakabidhi nyaraka zote muhimu kwa Mkaguzi wa nje ili tuweze kufunga hoja zilizobaki na tuepuke kuongeza hoja nyingine " amesisitiza Sakina.


Kwa upande wake Mkaguzi Mkuu  wa Mkoa wa Geita (Chief External Auditor) Bw. Waziri Shabani wakati akiwasilisha ripoti amesema Jumla ya Hoja mpya za mwaka wa ukaguzi (2023/ 2024) ni Hoja 23 ikiwa Hoja  zilizofungwa ni  13 sawa na 56.5 % na kusalia Hoja 10. Katika Hoja Za miaka ya nyuma (kuishia 30, Juni 2023) zilikuwa hoja 38,na zimefungwa hoja 21 sawa na 55.3% na kusalia Hoja 17.

Matukio ya picha katika Baraza Maalumu la Kupokea na Kujadili Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG)

Matukio ya picha katika Baraza Maalumu la Kupokea na Kujadili Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG)

Matukio ya picha katika Baraza Maalumu la Kupokea na Kujadili Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG)

Matukio ya picha katika Baraza Maalumu la Kupokea na Kujadili Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG)

Announcements

  • Watoto wa kike waliokatisha Masomo yao November 01, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA USAJILI WA ANWANI ZA MAKAZI March 09, 2022
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi kwa Walimu September 06, 2020
  • Ratiba ya Kampeni za Kampeni Jimbo la Mbogwe August 26, 2020
  • View All

Latest News

  • MBOGWE YAPONGEZWA KUPATA HATI SAFI

    June 16, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRICA DUNIANI

    June 16, 2025
  • UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO MBOGWE

    June 04, 2025
  • MASHINDANO YA UMISSETA WILAYANI MBOGWE

    June 03, 2025
  • View All

Video

UFUNGUZI WA MAJENGO MAPYA NA UPANUZI WA KITUO CHA AFYA CHA MASUMBWE, GEITA
More Videos

Quick Links

  • MKOA WA GEITA
  • WIZARA YA TAMISEMI
  • IKULU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
  • MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA(TRA)
  • BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA(NECTA)
  • WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
  • WIZARA YA ELIMU,SAYANSI NA TKNOLOJIA
  • WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

Related Links

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora
  • Mkoa wa Geita

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita

    Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe

    Telephone: +255734412592

    Mobile: +255734412592

    Email: ded@mbogwedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.