Zoezi la utoaji wa kadi za Bima ya Afya kwa wote kwa awamu ya kwanza linatarajia kuanza tarehe 4/2/2026 katika Wilaya ya Mbogwe kwenye kata 17 na vijiji 87 kwa kaya siziso jiweza zilizokuwa zinahudumiwa na Mpango wa kunusuru Kaya maskini (TASAF) ambapo jumla ya kaya 2,174 zinye wanakaya 11428 watapatiwa Bima za Afya bure ambazo tayari zimegharamiwa na Serikali.
#kazinautu
#tabasamulautu
#tunasongambele
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.