03 June,2025 Imefanyika michezo ya UMISSETA iliyoshirikisha jumla ya Wanafunzi 304 kutoka Tarafa 3 zinazounda Wilaya ya Mbogwe ambazo ni Ilolangulu,Mbogwe na Masumbwe.Michezo hiyo imefanyoka katika Shule ya Sekondari Masumbwe kata ya Nyakafuru.
Wanafunzi hao wameweza kushiriki Michezo ya Riadha,Volleyball,Handball,Soka na Netboli.
Aidha jumla ya Wanafunzi 120 wakiwemo wenye Mahitaji Maalumu na Walimu 12 wamechaguliwa kuunda timu ya Wilaya.
Timu imeanza kambia leo tarehe 03/06 hadi tarehe 7/06/025
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.