Katibu Tawala Wilaya ya Mbogwe Ndg. Adestino Mwilinge amemuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Bi Sakina Mohamed kuzindua chanjo ya Mifugo kwa ajili ya kuchanja Mifugo yote Wilayani Mbogwe.
Chanjo hizo ni
1. Chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ng'ombe (CBPP) Dozi 102,400 iliyotoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Maabara ya Vaterinary (TVLA)
2. Chanjo ya Kideri/mdondo wa Kuku,Mafua ya Kuku na Ndui Dozi 304,000 iliyotoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupiyia Kampuni ya NOVABI
3. Chajo ya Kichaa cha Mbwa (RABIES) Dozi 1,000 iliyotoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Wakala wa Mifugo Kanda ya Ziwa (ZVC).
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.