• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOGWE
HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOGWE

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Ardhi na Mali Asili
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji na Udhibiti Majitaka
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa na Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Elimu Afya na Maji
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
  • Machapisho
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Fomu mbalimbali

Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango

Wajumbe wa Kamati

  • Mhe  Busiga V. Busiga – Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Mhe Nsika Sizya – Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Mhe Augustino M. Masele (Mb) Mjumbe
  • Mhe Ndabacha K.Simoni- Mjumbe
  • Mhe Shimo K.Kikuyu –Mjumbe
  • Mhe Marco J Nzella – Mjumbe
  • Mhe  Lutandula P. Kazimoto –Mjumbe
  • Mhe Daud S. Mabenga- Mjumbe
  • Mhe Pili A.Meshack –Mjumbe
  • Mhe Costantine M. Kwezi- Mjumbe

Majukumu ya jumla

  • Kamati hii inawashirikisha Wenyeviti wa kamati zote za kudumu na inapaswa kukutana kila mwezi mara moja. Aidha,madaraka ya Kamati hii ni kama ya kamati zingine za kudumu na hivyo hairuhusiwi kisheria kufanya kazi/majukumu ya kamati zingine za kudumu. Kwa ujumla,majukumu yake ni pamoja na kusimamia na kudhibiti ukusanyaji wa mapato na matumizi ya mali ya Halmashauri kwa kupitia vikao vyake. 
  • Majukumu maalumu ya kamati;-
  • Kuweka mikakati na kupendekeza uongezaji wa mapato.
  • Kuwasilisha mapendekezo ya bajeti na mpango wa maendeleo kwenye Halmashauri ili kuidhinishwa na Halmashauri.
  • Kusimamia utunzaji wa hesabu za fedha ikiwa ni pamoja na uhakiki wa mali za Halmashauri,ukusanyaji wa mapato,kufuta madeni na kuomba vibali maalumu kwa matumizi yanayohitaji kibali cha Waziri mwenye dhamana ya Serikali Mitaa.
  • Kufikiria na pale inapowezekana,kupendekeza kwenye Halmashauri masuala yanayohusu Sheria Ndogo na utendaji katika ngazi za chini za Halmashauri.
  • Kupokea na kuzingatia mapendekezo ya kubadili matumizi ya mafungu ya fedha (re-allocation) yaliyopo katika makisio yaliyoidhinishwa na kuyapeleka Halmashauri.
  • Kufikiria na kupendekeza kwenye Halmashauri mikopo yote ya Halmashauri.
  • Kuratibu mapendekezo kutoka kwenye kamati zingine kuhusu matumizi ya kawaida na miradi na kuyawasilisha kwenye Halmashauri.
  • Kutoa mapendekezo ya vitega uchumi kwa madhumuni ya kuongeza mapato kwa mujibu wa sharia ya fedha za Serikali za Mitaa,Sura ya 290.
  • Kupokea na kujadili taarifa za wakaguziwa fedha na mali ya Halmashauri na kupendekeza hatua za kuchukuliwa kutokana na maelekezo na maoni ya wakaguzi kwa mijibu wa Sheria za Serikali za Mitaa,Sura ya 290.
  • Kusimamia na kudhibiti matumizi ya fedha za Halmashauri,kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na Waziri na taratibu nyingine zitakazowekwa na Halmashauri.
  • Kupitia marekebisho yote yaliyopendekezwa hususan kuhusu taratibu za fedha,ikiwa ni pamoja na mapitio ya mara kwa mara yanayohusu thamani ya fedha ambapo kanuni mbalimbali za manunuzi ya mali na vifaa hutumika.












Matangazo

  • Halmashauri zaagizwa kutumia mapato yao kwenye huduma za jamii June 05, 2019
  • Orodha ya Wanafunzi wa Halmashauri ya Mbogwe waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano, Elimu ya Kati na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka wa Masomo 2019 na maelezo ya kujiunga(JOINING INSTRUCTION) June 01, 2019
  • Tangazo la siku ya usafi August 27, 2016
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kampeni ya Ujenzi na matumizi bora ya vyoo yaanza leo katika Halmashauri ya Mbogwe

    June 23, 2019
  • Mkutano wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe na Wadau wa Soko la Madini

    June 05, 2019
  • Madiwani wa Halmashauri ya Mbogwe Wametakiwa Kutembelea Miradi, Wasisubiri Taarifa Ofisini

    June 04, 2018
  • REA Waombwa Kupeleka Umeme Kwenye Migodi Ili Kupunguza Gharama za Uendeshaji

    June 01, 2018
  • Tazama zote

Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa

Baraza la Madiwani Robo ya Tatu
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • MKOA WA GEITA
  • WIZARA YA TAMISEMI
  • MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA(TRA)
  • BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA(NECTA)
  • WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
  • WIZARA YA ELIMU,SAYANSI NA TKNOLOJIA

Tovuti linganifu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita

    Anuani ya Posta: P.o.box 1 Masumbwe

    Telephone: +255757499681

    Simu ya Kiganjani: +255757499681

    Barua Pepe: ded@mbogwedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Huduma Zetu

Copyright ©2017 MBOGWE DC . All rights reserved.