Posted on: April 6th, 2018
Pamoja na maambukizi ya ugonjwa wa malaria kupumgua kwa
aslimia 40 kutoka wagonjwa million saba mwaka 2015 hadi kufikia
wagonjwa million nne mwaka 2017, bado Mkoa wa Geita ni miongoni mwa...
Posted on: April 3rd, 2018
"Hatutaki kuona mkulima anakopwa pamba yake! Msimu wa pamba utakapoanza hapo tarehe 1 mwezi Mei mwaka huu, kila mkulima atakayeuza pamba yake, alipwe pesa yake papo hapo". Maneno ya Waziri Mkuu Kassim...
Posted on: April 1st, 2018
WAZIRI MKUU ATAJA MIKOA MINNE INAYOONGOZA KWA UTORO WA WANAFUNZI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaja mikoa ya Tabora, Geita, Mtwara na Shinyanga kuwa inaongoza kwa utoro wa wanafunzi wa ...